GET /api/v0.1/hansard/entries/425968/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 425968,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/425968/?format=api",
    "text_counter": 272,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chiaba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 3,
        "legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
        "slug": "abu-chiaba"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii ili niungane pamoja na wenzangu kumshukuru Kiongozi wa Waliowengi Bungeni kwa kutoa ratiba ya vile Seneti itafanya kazi. Bw. Naibu Spika, kupata nafasi inaonyesha kwamba ni muhimu sana sisi kwenda mashinani kujua vile hali ilivyo na vile vile kuungana pamoja na viongozi wote ambao walichaguliwa na kujua ni maendeleo gani yaliyopangwa na vile tutawapatia masomo ili tuweze kufanya kazi pamoja. Bw. Naibu Spika, kwa hayo machache, naunga mkono Hoja hii ilioko mbele yetu."
}