GET /api/v0.1/hansard/entries/426176/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 426176,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/426176/?format=api",
"text_counter": 124,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Asante, Naibu Spika. Mwalimu Karaba, katika Hoja yake, amesema kuwa yatakikana Serikali ya Kitaifa ifikirie na kuanzisha kwa dhati halmashauri itakayochunguza mambo ya ajira, mafunzo, uangalizi wa tabia na kuendeleza elimu ya watu wazima. Ametaja Kipengele cha 43 cha Katiba ya Kenya akiunganisha na Kipengele pia cha 223 cha Katiba ya Kenya inayosema kuwa kila mtu ana haki iliyo sawa kupata elimu. Ingawa namuheshimu sana Sen. Murungi, akiwa mzee The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}