GET /api/v0.1/hansard/entries/426180/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 426180,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/426180/?format=api",
    "text_counter": 128,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 431,
        "legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
        "slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
    },
    "content": "Hoja ya nidhambu, Bw. Naibu Spika. Katika utangulizi wake, Sen. (Dr.) Machage anaonyesha kama ambaye kuna jambo ovu katika kuoa mke wa pili ilhali tunajua kwamba katika dini nyingine, tunakubaliwa kuoa wake wawili, watatu au wanne. Kukosa elimu ama kupata elimu haimaanishi ndio unaoa ama huoi mke wa pili. Nataka kidogo afafanue kwamba, je, anaona wale wanaooa wake wa pili, watatu na wanne, wamekosa elimu?"
}