GET /api/v0.1/hansard/entries/426186/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 426186,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/426186/?format=api",
"text_counter": 134,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ningemuomba mwenzangu asikilize kwa makini, ingawa yuatoka Pwani, naona kuwa lugha ya taifa inampita kidogo. Kwa sababu mimi nimeangaza wazo la Sen. (Prof.) Anyang’Nyong’o alipotoa tahadhari kwamba badala ya kujivinjari kutafuta mke wa pili ukifikia umri wa miaka 60, kuna njia nyingine zaidi hata kwenda shuleni ambayo unaweza kufurahia maisha yako ya usoni. Kwa hivyo, sikusema hata kidogo kwamba kuoa mke wa pili, wa tatu ama wa nne ni vibaya; kipenda roho basi huenda ukala pilipili; shauri yako. Kama dini yakuruhusu, basi ni bahati yako. Sisi wengine walio Wakristo haturuhusiwi!"
}