GET /api/v0.1/hansard/entries/426296/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 426296,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/426296/?format=api",
"text_counter": 244,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Na hali hii tunayoizungumzia ni kwamba katika kila nyanja, tuungane kwa sauti moja. Kama shirika la National Intelligence Service (NIS) lahitaji fedha, basi lipewe zaidi. Ikiwa lina maofisa wachache, basi tuajiri zaidi. Dhana ya nyumba kumi itekelezwe mara moja. Bw. Spika wa Muda, kwa haya machache, ninaunga mkono Hoja hii ya Sen. Hassan."
}