GET /api/v0.1/hansard/entries/426695/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 426695,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/426695/?format=api",
"text_counter": 341,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Asante sana, Naibu Spika. Ninaunga mkono wenzangu kuhusu hii Ripoti. Tungezungumzia kitu ambacho kinaweza kuwasaidia Wakenya kuliko kuongea kuhusu kitu ambacho hakiwezi kusaidia Mkenya. Naibu Spika, ningezungumza kuhusu usalama ambalo ni jambo tunaweza kulitafuta katika Kenya yetu kwa njia yoyote ile. Hii ni kwa sababu tumepoteza wananchi katika kila pembe ya nchi. Kile kinachonishangaza mimi Leshoomo ni mambo ya AlShabaab . Ni nani anitwa Al Shabaab na ana sura gani? Ninauliza swali hili kwa sababu"
}