GET /api/v0.1/hansard/entries/426699/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 426699,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/426699/?format=api",
    "text_counter": 345,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Tafadhali nipe nafasi. Naibu Spika, nisaidie. Nafikiri ninaongea jambo muhimu na tuelewe ni kitu gani kinasumbua Kenya yetu. Tulienda na tukatoa watoto karibu 300 na wote ni Wakenya. Wote wako na vitambulisho vya Kenya na walikuwa wanafunzwa huko Voi. Kama ni hao ndio wamekuja kuwa Al Shabaab, ni muhimu tutafute njia ya kumaliza shida hii."
}