GET /api/v0.1/hansard/entries/426700/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 426700,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/426700/?format=api",
"text_counter": 346,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Naibu Spika, kuhusu mambo ya Westgate ninashukuru hao watu waliofanya upelelezi. Walipeana Ripoti yao. Zaidi ya hayo, kila mtu hapa ni mupelelezi. Hata huyo ambaye anatembea bila viatu kwa barabara ana umuhimu. Wale watu ambao wanaitwa majasusi hawapati maneno kutoka mbinguni ama chini. Wanapata maneno kutoka wale masikini ambao wanatembea kwa barabara. Ni hao ndio wanapeana hizo ripoti. Tungesema kama viongozi kwamba tutachukua njia gani ndio hii ripoti ijulikane na ifanyike kwa njia inayotakikana?"
}