GET /api/v0.1/hansard/entries/426701/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 426701,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/426701/?format=api",
"text_counter": 347,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Nilisema mambo ya kaunti yangu ya Baragoi hapa. Watu arobaini walikufa. Waliuawa na Al Shabaab? Kwa hivyo nasema tutafute njia ya kumaliza usalama katika Kenya yetu. Tukiongea mambo ya usalama tusiiweke kama mashindano. Tujue tutamaliza namna gani hii mambo ya usalama ili tusipoteze Mkenya tena kwa sababu ya mtu mungine."
}