GET /api/v0.1/hansard/entries/426702/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 426702,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/426702/?format=api",
"text_counter": 348,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Naibu Spika, yangu ni hayo na ningesema sisi viongozi tusiweke mambo ya usalama katika Kenya kama mashindano, siasa ama kichama. Tushikane tujue tutaimaliza namna gani kwa sababu tunaumia. Tusipendeze fulani lakini tutajaribu tuweke njia ya kusaidia Mkenya."
}