GET /api/v0.1/hansard/entries/427036/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 427036,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/427036/?format=api",
    "text_counter": 243,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Bi Naibu Mwenyekiti wa Muda, kuna umuhimu mawaziri waruhusiwe na wapatiwe nafasi ya kupeperusha bendera katika haki zao za kufanya kazi. Hii ni kwa sababu Baraza la Mawaziri ni chombo chenye umuhimu nchini. Vile vile, ikiwa mabalozi walioko chini ya mawaziri wataruhusiwa kupeperusha bendera, basi kuna umuhimu mawaziri pia wapewe nafasi ya kupeperusha bendera ya nchi."
}