GET /api/v0.1/hansard/entries/427661/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 427661,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/427661/?format=api",
"text_counter": 374,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "ningependa kumuunga mkono ndugu yangu Sen. (Prof.) Kindiki kwa kuleta Hoja hii katika Bunge hili la Seneti. Pili, ningependa kusema kwamba majirani wakiwa na amani, sisi pia kama wenyeji hapa Kenya tutakuwa na amani. Lakini ikiwa majirani wetu hawatakuwa na amani, sisi hapa pia hatutakuwa na amani. Ukiangalia nchi ya Somali, hakuna amani. Ndio utaona kwamba jeshi na askari wetu wamehusika sana na mambo haya."
}