GET /api/v0.1/hansard/entries/427719/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 427719,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/427719/?format=api",
    "text_counter": 432,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kisasa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13124,
        "legal_name": "Mshenga Mvita Kisasa",
        "slug": "mshenga-mvita-kisasa"
    },
    "content": "Asante sana Bw. Spika wa Muda. Naomba pia kuchangia kama mama. Kama mnavyoniona, niko hapa peke yangu kama mwanamke Seneta. Ningependa kumshukuru kila mtu. Ningepende kutoa mawazo yangu kwa Kiongozi wa Wengi na Kiongozi wa Wachache. Naona hawafai kuleta mzaha katika kazi kwa sababu jambo hilo litatuharibia. Hii ni Bunge ambalo linaheshimika. Sote twajua tuko sawa. Tusiulete mzaha mwingi. Unapotamka neno, neno hilo huwa limeshatoka kwenye kinywa chako na hauwezi kulirudisha tena."
}