GET /api/v0.1/hansard/entries/429140/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 429140,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/429140/?format=api",
    "text_counter": 359,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika, mwaka jana kulikuwa na tetezi kwamba Kshs16.6 bilioni zilikuwa zimewekwa ili ziweze kutumiwa na serikali za ugatuzi kama masharti fulani yangeweza kufuatwa. Kwa lugha ya Kimombo ukipenda “Conditional Allocations”."
}