GET /api/v0.1/hansard/entries/429141/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 429141,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/429141/?format=api",
"text_counter": 360,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Kwa hivyo, katika masuala ya elimu, kuhakikisha kwamba wale ambao hawajahitimu kujiunga na shule za upili wanapata nafasi ya kupata taaluma ili waweze kujikimu katika maisha na kusaidia jamii ndiposa tuweze kuafikia Ruwaza Ya 2030, ninafikiri ni jambo la kutajiwa."
}