GET /api/v0.1/hansard/entries/429144/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 429144,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/429144/?format=api",
"text_counter": 363,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Pia, katika kiwango cha kitaifa, tumekuwa na mwito mpya kama Kamati ya Bajeti na Makadirio kwamba tunaangalia takwimu ama unapatiwa hela ambazo unahitaji lakini lazima uwe ni miradi ambayo unaonyesha kweli kwamba Wakenya wataweza kufaidika. Tungependa Bunge la Seneti liweze kuangalia jambo hili baada ya Mswada huu na ule The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}