GET /api/v0.1/hansard/entries/429145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 429145,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/429145/?format=api",
"text_counter": 364,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Mswada mwingine ambao unapatiana hela katika kila kaunti ili wasisitize miradi ambayo kila kaunti inaonyesha ndiposa wasipatiane hela kwa sababu watu wanasema kwamba wametengwa kwa muda mrefu ama watu wanasema kwamba hawajawahi kuangaziwa na Serikali."
}