GET /api/v0.1/hansard/entries/429147/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 429147,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/429147/?format=api",
    "text_counter": 366,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Ukiangalia deni la nchi, utaona kwamba kiasi kikubwa kinatumika. Tumeongeza matumizi yetu kulipa deni kwa Kshs34 bilioni na Kshs60 bilioni zinatumika kulipa malipo ya uzeeni. Vile miaka inavyosonga, kutakuwa na watu wengi ambao watakuwa wanastaafu lakini kuna kasumba ya rushwa ambayo inafanya pesa hizo kutowekwa vizuri ndiposa ziwafaidi wale ambao wanastaafu. Kama nchi inatumia Kshs414 bilioni katika masuala haya, ni viema tujiulize ni vipi tutahakikisha kwamba tunapata---"
}