GET /api/v0.1/hansard/entries/429444/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 429444,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/429444/?format=api",
    "text_counter": 270,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Jambo la Nidhamu, Bw Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuelewa kwa nini mwenzetu anawataja Waislamu. Inaonekana kwamba Waislamu ndio ambao wameleta haya maafaa. Hili jambo si la Waislamu kwa sababu katika dini ya Kiislamu hakuna mahali ambapo kuna mambo ya kuuana."
}