GET /api/v0.1/hansard/entries/429454/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 429454,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/429454/?format=api",
"text_counter": 280,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Murungi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2802,
"legal_name": "Kathuri Murungi",
"slug": "kathuri-murungi"
},
"content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Kwanza kabisa nampongeza Rais wetu kwa hiyo Hotuba yake ambayo alileta hapa Bungeni; nampongeza kwa kutilia maanani maadili ya Katiba yetu mpya. Pia nampongeza kiongozi wa CORD, Raila Odinga akiwa Marekani. Akihojiwa na waandishi wa habari aliweza kuipongeza Serikali na kuipa alama tano ambayo ni pass na akasema kweli Serikali ya Jubilee imefanya kazi nzuri katika mwaka mmoja. Kwa hivyo, kwa wale ambao labda hawakusikia hio ripoti ya kiongozi mashuhuri Raila Odinga, labda hawasomi---"
}