GET /api/v0.1/hansard/entries/429459/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 429459,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/429459/?format=api",
"text_counter": 285,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Murungi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2802,
"legal_name": "Kathuri Murungi",
"slug": "kathuri-murungi"
},
"content": "Hapana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Mimi sijasema nilisoma kwa magazeti. Nimesema alisema akiwa Marekani. Kwa hivyo, mwenzangu, Mhe Millie, hajui kama hata mimi nina uwezo wa kuongea na Bw. Raila Odinga. Sijui kwa nini anashuku taarifa yangu hapa Bungeni."
}