GET /api/v0.1/hansard/entries/429478/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 429478,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/429478/?format=api",
"text_counter": 304,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, nachukua nafasi hii hata mimi kuzungumzia Hotuba iliyotolewa na Rais. Ningependa kuzungumzia vipengele kadhaa ambavyo alivizungumzia katika Hotuba yake. Kwanza kabisa nataka kupongeza habari za kawi ambazo amezungumzia, kwamba tutaweza kuwa na megawatts 5,000 ambazo zitatuwezesha kupata umeme kwa asimilia 80 ya jamii. Swala la umeme limetupa shida sana kama Wakenya. Tumekuwa tukipimiwa umeme na kuukosa katika nyakati nyingi. Hivyo basi, Wizara husika inahitajika kueneza huu mradi vilivyo. Jambo la pili ningezungumzia swala la usalama ambao kwa sasa katika nchi yetu umedorora sana. Ni swala ambalo Serikali, na zile Wizara husika, inatakikana iangalie kwa upeo mwingine wa ndani sana. Kwanza haswa, chanzo cha kukosa usalama katika nchi ya Kenya ni nini? Sababu ya Kenya kila wakati kuwa na uvamizi na visa vya kigaidi--- Tunaona wachungaji wa makanisa wakiuawa. Tunawaona pia masheikh wa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}