GET /api/v0.1/hansard/entries/436375/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 436375,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/436375/?format=api",
"text_counter": 236,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, asante kwa kunipa nafasi hii ili nipinge Hoja hii. Kitu cha kwanza, hii Hoja imetolewa na majina ya wale Maseneta ambao kwa upande wangu nina hakika wanaweza kufanya kazi hii. Katika wale Maseneta 11 waliowekwa na Kiongozi wa Walio Wengi, hakuna hata Seneta mmoja ambaye hawezi kuifanya kazi. Wote wana uwezo wa kuifanya hiyo kazi lakini katika akili yangu, je wale Maseneta The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}