GET /api/v0.1/hansard/entries/436623/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 436623,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/436623/?format=api",
"text_counter": 184,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Wasitarajie kupata hukumu tofauti kwa sababu nguvu za Seneti hii hazina kifani. Yetu ni kutenda haki kwa kila gavana atayewasilishwa hapa kwa sababu tuna utu. Viongozi walio katika Seneti hii ni watu wazima na wenye hekima. Watayasikiliza mawazo ya kila gavana. Kama umeulizwa swali kule mashinani, tafadhi lijibu. Wale viongozi ambao wameitwa kuja kwa kamati zetu ili kutoa ripoti zao vile wanavyo tumia mali ya umma, tafadhali fanyeni hima. Fikeni mbele ya kamati hizi, na mjibu maswali juu ya matumizi ya pesa za umma katika kaunti zenu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}