GET /api/v0.1/hansard/entries/436641/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 436641,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/436641/?format=api",
"text_counter": 202,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mbura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13153,
"legal_name": "Emma Mbura Getrude",
"slug": "emma-mbura-getrude"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Mimi nina furaha sana kwa kikao hiki. Ninaringa kuwa mimi kama Seneta nimepata nguvu. Nataka kusema kuwa kijembe kile ambacho kimemnyoa Wambora kiwekwe vizuri ili kitembee Kilifi, Mombasa na kuingia Kenya nzima. Bw. Spika, kwa sababu hiyo, ninaunga mkono Hoja hii."
}