GET /api/v0.1/hansard/entries/437206/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 437206,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/437206/?format=api",
    "text_counter": 440,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chiaba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 3,
        "legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
        "slug": "abu-chiaba"
    },
    "content": "Asante sana, Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi hii kuunga mkono Mswada huu ingawa kwa shingo upande. Nasema hivyo kwa sababu pesa hizi Kshs226 bilioni hazikutokana na Seneti hii. Katiba imetupa haki ya kupanga mipangilio ya fedha za kaunti hapa. Takwimu hii tumeletewa na tunaulizwa tuipitishe vile ilivyo bila kuuliza maswali. Ninamuunga mkono The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}