GET /api/v0.1/hansard/entries/437212/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 437212,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/437212/?format=api",
"text_counter": 446,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chiaba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 3,
"legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
"slug": "abu-chiaba"
},
"content": "Madeni tuliyoyarithi kutoka kwa County Council ni Kshs1.3 billion. Pesa zitakazobaki ni ngapi? Tutabaki na Kshs400 milioni. Pesa hizi zitachukuliwa na Serikali ya kaunti. Waheshimiwa Bunge wa Kaunti watatumia pesa hizi kufanya kazi yao. Bw. Naibu Spika, miaka 50 sasa, Kaunti ya Lamu imebaguliwa kwa njia zote. Hatuna hata barabara hata kilomita moja ya lami. Nimewaona marais watatu. Nilimwambia Rais mstaafu baba Moi kuwa Lamu inahitajika barabara ya lami ilituweze kujivunie kama kaunti zingine lakini hakufanya hivyo kwa muda wa miaka kumi. Pia tumezungumza na Rais Kibaki kwa miaka kumi tuliyokuwa naye, tukizunguza siku ingia, siku toka, lakini hakuna barabara hata moja katika Kaunti ya Lamu. Kwa Bahati mbaya, sikio la kufa halisikii nini?"
}