GET /api/v0.1/hansard/entries/437216/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 437216,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/437216/?format=api",
    "text_counter": 450,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chiaba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 3,
        "legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
        "slug": "abu-chiaba"
    },
    "content": "Lakini haya mambo yanayofanyika si haki. Mimi naiomba Seneti hii pamoja na ile Tume ya Cheserem waangalie ile mbinu ya kugawa pesa katika kaunti. Haiwezekani kuwa Lamu inapata pesa za chini ilhali najua kuwa Lamu ina watu masikini kushinda sehemu nyingi zote nchini. Watu wa Nairobi wakienda huko, huwa wanaenda katika kijiji cha Amu peke yake. Hawajui ya kwamba wapo watu wanaoishi katika kilomita 300 katika Kaunti ya Lamu ambao siku zingine hawawezi kupata chakula cha hata mara moja kwa siku."
}