GET /api/v0.1/hansard/entries/437218/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 437218,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/437218/?format=api",
"text_counter": 452,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chiaba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 3,
"legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
"slug": "abu-chiaba"
},
"content": "Hakuna haja kwa sababu si chama. Sisi tunawafuasi wa chama cha Jubilee na pia watu wa CORD walikuwako katika Serikali iliyopita ya nusu mkate. Hata hivyo hawakuweza kufanya Serikali ile ifanye kitu kama hicho. Hivi sasa, tunaendelea kubaguliwa na kudunishwa kwa kupatiwa pesa chache sana. Tutafurahi tu wakati tutapata haki zetu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}