GET /api/v0.1/hansard/entries/439119/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 439119,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/439119/?format=api",
    "text_counter": 347,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, leo tumezungumza sana. Leo nasimama kuunga mkono Mswada wa Boni Khalwale. Viongozi ambao wanaongoza watu huwa wanawapeleka watu wao mahali wanapofaa kupelekwa. Watu hawafai kuwaambia viongozi vile wanavyotaka kufanya. Mambo yakiwa hivyo, watu wataanza kuuza chang’aa."
}