GET /api/v0.1/hansard/entries/440460/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 440460,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/440460/?format=api",
"text_counter": 117,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kuwa tunafaa kwenda kule na kusema kwamba majeshi yetu yamebadilika na hayafanyi vile walifanya kule Westgate. Waliingia kule na kubeba maji. Je, hawa ndio watu wanaotegemewa kwenda kwa Umoja wa Mataifa kudumisha amani? Tungezungumza kuhusu muundo wa Serikali---"
}