GET /api/v0.1/hansard/entries/440466/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 440466,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/440466/?format=api",
"text_counter": 123,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, kama ndugu yangu alinisikiza vizuri, nilisema kwamba Jeshi letu limeonyesha ujasiri katika nchi za nje na Gen. Mulinge alithibitisha hayo. Lakini kitendo cha Westgate kilikuja baadaye. Ule ni wizi uliofanywa na Jeshi linalolinda taifa. Kwa hivyo, kama jambo hilo lilitokea ni jukumu letu kusema kwamba tunataka jeshi ambalo lina heshima na adabu. Bw. Spika wa Muda, ni wazi kwamba viongozi wa juu katika taifa hili wako na kesi katika Korti ya Kimataifa kwa mashtaka ya mambo ya uharamia na mengine."
}