GET /api/v0.1/hansard/entries/440524/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 440524,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/440524/?format=api",
    "text_counter": 181,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, kwa niaba ya Kamati ya Elimu na Teknolojia, ningependa kuleta Hoja hii mbele ya Seneti hii, kuhusu Ripoti ambayo ilitayarishwa na Kamati hii baada ya kutembelea baadhi ya kaunti. Nawasilisha Ripoti hii mbele ya Seneti ili iweze kupitishwa kikamilifu. Bw. Spika wa Muda, kwa mujibu wa kipengee Nambari 96 ya Katiba na Kanuni Nambari 177 ya Seneti, Kamati ilikuwa na mujibu wa kusimamia maswala ya elimu---"
}