GET /api/v0.1/hansard/entries/440526/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 440526,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/440526/?format=api",
    "text_counter": 183,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Mr. Temporary Speaker, Sir, I beg to move the following Motion. THAT, the Senate adopts the Report of the Standing Committee on Education, Information and Technology on the County Oversight and Networking Engagement (CONE) to Lamu, Tana River, Kilifi, Mombasa and Kwale Counties on 29th August – 5th September, 2013 laid on the Table of the Senate on Thursday, 3rd April, 2014. Bw. Spika wa Muda, hiyo ndio Hoja ambayo nilikuwa nawasilisha. Kwa mujibu wa Katiba, Kamati hii ilitembelea kaunti ambazo nimezitaja, zikiwemo kaunti za Lamu, Tana River, Kilifi, Mombasa na Kwale, kuanzia tarehe 29 Agosti mpaka tarehe 5 Septemba, mwaka jana. Ukweli wa mambo ni kwamba Kamati hii ilizunguka katika kaunti hizi ili kutazama na kujua hali ya elimu. Ukweli ni kwamba tulitembelea Kaunti ya Lamu na tukakutana na Gavana. Pia, tulitembelea vyuo na shule mbali mbali za chekechea. Bw. Spika wa Muda, tulipotoka Kaunti ya Lamu, Kamati ilielekea Kaunti ya Kilifi ili kutazama hali ya shule za chekechea na ufundi. Pia, Kamati ilitembelea Kaunti ya Kwale na pamoja na Kaunti ya Mombasa. Ukweli unafaa kusemwa kwamba Kamati ilienda kule ili ijionee. Tumetayarisha Ripoti kuhusu yale tulioyaona. Naongezea kwamba yale tulioyaona ni hatari bin"
}