GET /api/v0.1/hansard/entries/440544/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 440544,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/440544/?format=api",
    "text_counter": 201,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, simlaumu Sen. Murkomen. Ukweli ni kwamba wakati mwingine hatupendi lugha zingine na huo ndio ukweli. Sasa ninachozungumzia ni kwamba tuanzie katika shule za chekechea. Hii ni muhimu sana kwa mtoto. Hamna haja ya kuanzia juu ukiteremka chini. Kule chini hata hakuna fedha na walimu wa kutosha. Hakuna madarasa ya kutosha ambao watawahudumia wanafunzi. Hakuna syllabus ambayo inaweza kueleweka. Kama hujafika Nairobi, utaendaje London? Hii ndio maana tukasema kwamba kazi ya Kamati hii kuenda katika kaunti ilikuwa ni muhimu sana ili tujionee wenyewe. Tunasema kwamba haya ni mambo ambayo yasingekuwepo baada ya miaka 50 tangu tupate Uhuru. Tungekuwa na shughuli zingine kwa sababu hapo ndipo msingi ulioko. Hali ya vyuo vya ufundi katika kaunti zetu zote tulizozitembelea katika Kwale, Kilifi na Tana River zilikuwa katika hali mbovu zaidi, Lamu zilikuwa chache sana. Kulikuwa na taswira ambayo"
}