GET /api/v0.1/hansard/entries/440550/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 440550,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/440550/?format=api",
    "text_counter": 207,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Sasa, kitu kinachotushangaza ni kwamba Ripoti hizi zilizokuweko zamani bado zipo; na hii mpya ya kina Sen. Mutahi Kagwe na Sen. Boy Juma Boy yaja, na pia yasema maneno hayo hayo. Sasa, jamani, mpaka lini maneno haya yatakuwa yakisemwa na kusemwa na kusemwa, ilhali Sen. Murkomen anasema kuwa huu ni wakati wa kusema na kutenda? Basi yatakikana mambo haya yaonekane au sivyo? Lakini ikiwa hali hii itabaki kama ilivyo, hali itakuwa ya kuhuzunisha kwa sababu Wakenya wengine watakuwa wanaendelea, hali wengine watakuwa bado wanavuta mkia. Hii ndio maana tukasema kuwa tunawaomba Maseneta waisome Ripoti hii---"
}