GET /api/v0.1/hansard/entries/440560/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 440560,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/440560/?format=api",
    "text_counter": 217,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika wa Muda, kwa hayo mengi na machache, ningependa kuiwasilisha Hoja hii na kumuomba Mwenyekiti wangu wa gredi, Sen. Mutahi Kagwe wa Kaunti ya Nyeri, kuiunga mkono Hoja hii. Asante Bw. Spika wa Muda."
}