GET /api/v0.1/hansard/entries/440911/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 440911,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/440911/?format=api",
    "text_counter": 313,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Shukrani sana. Nasimama kuunga mkono Mswada huu. Vile vile nampongeza Mbunge mwenzetu kwa kuleta hisia kama hizi ambazo zitaweza kukuza talanta ya wale wanaohusika na mambo ya kukanda mwili ili kuagua mifupa na mishipa ambayo ina shida. Kamati inayohusika na masuala ya afya yapaswa kujua kwamba kuna watu ambao wamezaliwa na kipawa cha ukandaji. Si kwamba wamekwenda shule kusomea hiyo taaluma lakini wanafanya kazi nzuri sana kule nyanjani. Kwa mfano, kuna wakunga ambao walichukuliwa na kuwekwa mahospitalini ili kusaidia akina mama waja wazito. Kuna watu vile vile ambao hawahusiki na mambo ya uzazi lakini wanahusika na mambo ya mifupa; wao hawakusomea hii taaluma shuleni. Napendekeza kwamba wao pia The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}