GET /api/v0.1/hansard/entries/440913/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 440913,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/440913/?format=api",
    "text_counter": 315,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Kwa hayo, ninamshukuru Mhe. Sang. Nina imani huu ndio mwanzo wetu sisi kama Bunge hili ili kuweza, kumwaangalia huyo mwanachi ambaye anaumia na hana uwezo wa pesa za kwenda kwa matibabu. Hii ni njia moja ambapo itaweza kuwasaidia watu wetu. Asanteni"
}