GET /api/v0.1/hansard/entries/441652/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 441652,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/441652/?format=api",
"text_counter": 364,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Ahsante sana, Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono Ripoti hii na kuipongeza Kamati iliyoshughulikia jambo hili. Ni jambo la kusikitisha kwamba sehemu hiyo ya utafiti iko nchini Kenya, katika Kaunti ya Kilifi na Eneo la Bunge la Magarini, lakini hakuna chochote ambacho The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}