GET /api/v0.1/hansard/entries/442067/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 442067,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442067/?format=api",
"text_counter": 373,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Ahsante sana, Naibu Spika wa Muda. Pia, ninamshukuru dada yangu kwa sababu ya mjadala huu ambao umeletwa wakati unaofaa. Kama viongozi, tumeona changamoto ambazo baadhi ya watu walemavu au vipofu wanapata."
}