GET /api/v0.1/hansard/entries/442069/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 442069,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442069/?format=api",
    "text_counter": 375,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": "Katika Kaunti ya Trans Nzoia, kuna baadhi ya watu ambao ni walemavu hasa katika eneo la uwakilishi Bunge la Kiminini na eneo la uwakilishi Bunge la Mhe. F.K. Wanyonyi. Tunayo hii shida. Mswada huu ukipitishwa utahakikisha kwamba walemavu au vipofu wanapata haki zao."
}