GET /api/v0.1/hansard/entries/442070/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 442070,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442070/?format=api",
"text_counter": 376,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Pia, ningependa kuwaomba wenzangu ambao wana pesa za CDF wahakikishe kwamba wanatumia hizo pesa kujenga madarasa ambayo walemavu watasomea. Ninamshukuru dada yangu, Mhe. Muia, kwa kusema kwamba inafaa televisheni zetu zipeane nafasi au watafute wakaguzi ambao wanaweza kuonyesha vipofu au visiwi miradi ambayo inaendelea katika nchi yetu au yale tunayoongea. Itakua vizuri sana kama jambo hili litatekelezwa."
}