GET /api/v0.1/hansard/entries/442350/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 442350,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442350/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Spika, nashukuru kwa nafasi hii. Ningependa kuungana na wenzangu kusema maneno mawili ama matatu. Naanza kwa kuungana na wenzangu; wananchi wa kawaida ambao waliumia. Hawa ni wananchi wa kawaida. Mambo haya yalitokea kule Mpeketoni. Watu karibu 50 walikufa juzi na jana watu 15. Hili si jambo la mzaha. Tunaongea juu ya watu ambao ni masikini. Watu hawa wanaishi vijijini."
}