GET /api/v0.1/hansard/entries/442365/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 442365,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442365/?format=api",
"text_counter": 281,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Spika, Katiba yetu inazungumza juu ya mambo mawili katika utumishi wa Serikali na Sen. Murungi kama wakili alipitisha hiyo Katiba na akaona inafaa, kwamba jinsia izingatiwe na vile vile makabila yote yawakilishwe katika utumishi wa umma ili hata Rendile awakilishwe katika utumishi wa Serikali. Hata Katibu wa Ulinzi anajulikana ni nani, mkuu wa Utumishi wa Umma anajulikana ni nani, ukiangalia ile kamati ya ulinzi---"
}