GET /api/v0.1/hansard/entries/442367/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 442367,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442367/?format=api",
"text_counter": 283,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Spika, nimeongea juu ya Warendile kwa sababu wao ni wachache. Si kusema hivyo kwa sababu ni watu nusu, lakini inafaa waonekane kama kabila katika nchi ya Kenya. Kwa hivyo ninafakiri Sen. Haji ananiunga mkono. Kama hili ndilo kundi litakalokaa chini ili kuzungumzia usalama---"
}