GET /api/v0.1/hansard/entries/442389/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 442389,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442389/?format=api",
"text_counter": 305,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wangari",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13123,
"legal_name": "Martha Wangari",
"slug": "martha-wangari"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, hatuna historia ya viongozi wetu kujiuzulu nyadhifa zao hapa nchini. Ikiwa ole Lenku hatajiuzulu, basi siasa awachie wanasiasa kwa sababu maisha ya wananchi ni muhimu sana. Kama hawezi kufanya kazi, basi ajiuzulu. Watu wawachane na Waiguru bali walete hoja ya kumtimua ole Lenku kutoka ofisini mwake. Lakini hata hivyo ningependa kusema kwamba sisi kama viongozi, kama kuna wakati ambao tunafaa kuungana, ni huu. Tuko kwa meli hii pamoja na tunasafiria baharini pamoja. Hatuwezi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}