GET /api/v0.1/hansard/entries/442391/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 442391,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442391/?format=api",
"text_counter": 307,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kutoboa mashimo katika chombo tunachosafiria sisi sote kwa sababu kitazama. Hatuwezi kuongeza chumvi kwenye kidonda. Hatuwezi kuwakataza watu kukusanyika pamoja. Lakini ni lazima tutumie matamshi ya kuunganisha Wakenya wote. Ni lazima tuajibike kwa matamshi na vitendo vyetu ili tusilete chuki."
}