GET /api/v0.1/hansard/entries/442398/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 442398,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442398/?format=api",
    "text_counter": 314,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wangari",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13123,
        "legal_name": "Martha Wangari",
        "slug": "martha-wangari"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, nakala ya HANSARD inaweza kumsaidia Sen. Muthuma kuelewa yale niliyoyasema. Nimesema kama wanasiasa ni lazima tusitoneshe kidonda kwa kuongeza chumvi. Tayari kuna shida na hatujasema ni ya kisiasa lakini yale matamshi tunayoyatamka katika mikutano yanaweza kuleta chuki baina ya wananchi wetu."
}