GET /api/v0.1/hansard/entries/442449/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 442449,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/442449/?format=api",
"text_counter": 365,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Onchwangi",
"speaker_title": "The Nominated Member",
"speaker": {
"id": 13114,
"legal_name": "Hosea Onchwangi",
"slug": "hosea-onchwangi"
},
"content": " Asante sana, Bw. Naibu Spika. Hata mimi nachukua nafasi hii kusema pole sana kwa wenzangu waliopoteza maisha yao. Hii mikutano inayoendelea katika nchi yetu si mizuri kwa sababu hatujui mahali wanapoenda; wanaimba nyimbo za mapambano. Sisi tunashindwa haya mapambano ni ya nini ilhali wakati wa siasa haujafika. Sisi kama wanachama wa Jubilee, kila mahali tunapoenda, hakuna hata siku moja tunakutuna CORD. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}